Skip to main content

SWALAAH


Kuamka tunaamka saa kumi na mbili
Kulala ni saa kumi ikipungua masaa mawili
Swala kwetu waislamu imekosa wakati na mahali
Jambo la uchungu na huzuni kwa kweli

Allah Rabbana ametuamrisha nguzo ya kuswali
Wenye Elimu wanatuusia kwa nguvu tuswali
Kwa waislamu imekuwa jambo la muhali
Ndio maana kwenye hii dunia tumefeli

Tukikosa biashara tunakuwa wakali
Ndugu kwa ndugu tumezidi ukatili
Je tunataka hii iwe ndio hali??
Kwa nini Waislamu tunachukizwa na kuswali??

Ibada gani itakufaa usiposwali?
Hatukai tukajiuliza haya maswali?
Nani hataki maisha mazuri ya sahali
Mafanikio yatakuja pindi tutakapoanza kuswali

Inawadia mwezi mtukufu Ramadhani
Tunatoka kwa mtukufu Sha'abani
Tumesahau malengo yetu duniani
Tutaacha swala tukimbilie masahani

Hayya 'Alal Falaah
Tunaitwa kwenye kufuzu
Tunaitwa tukamsujudie Allah Mola mtukufu
Tumnyeyekee mwenye biashara zetu
Tuswali kwa anayesuluhisha matatizo yote

TUJIULIZE TENA: TUTAWACHA LINI DHARAU KWA MOLA WETU AL-RAHMAN

Popular posts from this blog

A GUEST

A few days ago I received a guest
A guest I did not prepare to welcome
A special guest to all who knew his worth
I never knew what to give this new guest

I started by showing off
I went to extremes in extravagance
I showed neighbours how wasteful I am
Yet None I did made this guest happy

I was frustrated
Who is this guest? So humble and so quiet
What does he like, what do I do for him?
All this made me unhappy

The vigor I had in all things i did: LOST!
I felt like worshipping this guest
But then that's what many others do
Except for those who Allah guides 

Ramadhan
A precious gift a special guest
How blessed it is I never knew
But my welcome was never good

Learn from the mistakes you do
I just did
Allah brought to us this guest
No ordinary guest

Let's serve Him and use this guest
Not for sins but for Heaven
For Allah's Mercy
For Allah's Forgiveness

This guest carries so much gifts
He is there in everyones home
If we failed to welcome then...

LET US GIVE THIS GUEST THE FAREWELL HE REALLY  DESERVE…

AMKA UCHANGE

Mbona unajimess na kujiwaste.. Miraa na fegi vitu hazina taste.. Vipi? Do you think hereafter you'll be in rest.. Fikiria jamaa choose what is best.. Unavuta sheesha.. Wewe kwisha.. Unajua kenye namaanisha.. Lungs zako zinatisha.. Hazina faida.. Acha kusema ni kawaida.. Uyo mwenye anakubaiya atakuruka.. Kesho atakushoo yeye si duka.. Ati unasema niache kukujudge.. Siezi kukuwacha mpaka ujirecharge.. Hii imepoteza our youths in large.. Amka na mara pap uchange.. Sijui veve sijui ketepa.. Ushacheki of late venye unatupa.. Kuanguka kwa mtaro na machupa. Roho safi hautapata any msupa.. Kuna na qiyama mzeiya.. Hakuna kuhepa lazma utakuwa there.. Hautaonewa utajudgiwa fair.. So think about it if you really care.. Wapi wasee wa kudefend dini.. Cheki venye flag yetu iko chini.. Ummah inableed hizi vitu utaacha lini.. Ukiambiwa hauko sawa hauamini.. Drugs imemada hii generation.. Coming back to Allah ndo the only solution.. Alafu ndo kutetea dini itakuwa our mission.. But tukiwa mazuzu ha…

A SMALL APPRECIATION

This is a dedication to a new chapter in my life. A chapter of hope and struggle. A chapter filled with love, affection and some sweet bitterness.
This is a story dedicated to a budding rose. A beautiful angel. An epitome of beauty and kindness.
This goes to the one who helped me curb my desires.

I have for long struggled in the darkness of sins. In the pits of desires. Drowning in the deep evil of Iblees. That was the past and I say Alhamdulillah for now it is much more better thanks to this angel brought in my life  by Allah (Subhanahu Wa Ta'la).

It is rare that i sit down and write. Yet there is a push today for me to write and this time not a poem but a small appreciation. To appreciate those who motivate me; appreciate those who love me; appreciate my Religion of Islam.

This I have been taught by the Queen that is in my heart. The newest chapter of my life. My one and only wife (DON'T JUDGE IF I HAVE NO MATHNAA PLEASE!). This budding rose taught me to appreciate all thos…