Skip to main content

Posts

Showing posts from July, 2017

AMKA UCHANGE

Mbona unajimess na kujiwaste.. Miraa na fegi vitu hazina taste.. Vipi? Do you think hereafter you'll be in rest.. Fikiria jamaa choose what is best.. Unavuta sheesha.. Wewe kwisha.. Unajua kenye namaanisha.. Lungs zako zinatisha.. Hazina faida.. Acha kusema ni kawaida.. Uyo mwenye anakubaiya atakuruka.. Kesho atakushoo yeye si duka.. Ati unasema niache kukujudge.. Siezi kukuwacha mpaka ujirecharge.. Hii imepoteza our youths in large.. Amka na mara pap uchange.. Sijui veve sijui ketepa.. Ushacheki of late venye unatupa.. Kuanguka kwa mtaro na machupa. Roho safi hautapata any msupa.. Kuna na qiyama mzeiya.. Hakuna kuhepa lazma utakuwa there.. Hautaonewa utajudgiwa fair.. So think about it if you really care.. Wapi wasee wa kudefend dini.. Cheki venye flag yetu iko chini.. Ummah inableed hizi vitu utaacha lini.. Ukiambiwa hauko sawa hauamini.. Drugs imemada hii generation.. Coming back to Allah ndo the only solution.. A...