Mbona unajimess na kujiwaste..
Miraa na fegi vitu hazina taste..
Vipi? Do you think hereafter you'll be in
rest..
Fikiria jamaa choose what is best..
Unavuta sheesha..
Wewe kwisha..
Unajua kenye namaanisha..
Lungs zako zinatisha..
Hazina faida..
Acha kusema ni kawaida..
Uyo mwenye anakubaiya atakuruka..
Kesho atakushoo yeye si duka..
Ati unasema niache kukujudge..
Siezi kukuwacha mpaka ujirecharge..
Hii imepoteza our youths in large..
Amka na mara pap uchange..
Sijui veve sijui ketepa..
Ushacheki of late venye unatupa..
Kuanguka kwa mtaro na machupa.
Roho safi hautapata any msupa..
Kuna na qiyama mzeiya..
Hakuna kuhepa lazma utakuwa there..
Hautaonewa utajudgiwa fair..
So think about it if you really care..
Wapi wasee wa kudefend dini..
Cheki venye flag yetu iko chini..
Ummah inableed hizi vitu utaacha lini..
Ukiambiwa hauko sawa hauamini..
Drugs imemada hii generation..
Coming back to Allah ndo the only solution..
Alafu ndo kutetea dini itakuwa our mission..
But tukiwa mazuzu hatutakuwa na vision..
Majamaa hii sekta tumezidi..
Kuthink its outcome sometimes jo hubidi..
Utadu nini ukipata ukedi?
Haina tiba wee utadedi.
Saa utangoja mpaka wen buda boss..
Hizi stuff zimekupeleka at loss..
Unaweza acha for good Anza mos mos..
Hakuna worse thats how it goes..
Ananishow me ni mdogo niache speed..
Ananishow salah nitaswali nikiwa in need..
Ananishow hijab ya nini i dont need to take
heed..
Ananishow smoking haijatajwa kwa quran
ongeza some weed..
Ananishow mpaka lini ntakuwa solo..
Ananishow maze utafeel low..
Ananishow mabeshte wako wanajibamba.
Ananishow maisha yao iko sambamba..
Ananishow Quran sahau..
Ananishow Wazazi dharau..
Ananishow sitashikwa na karau..
Ananishow usiletewe nye nye nye na
manyang'au..
Ananishow kufunga sawm ya nini.
.Ananishow ujiuwe na njaa kwanini..
Ananishow acha kuleta vitu hard kwa dini..
Ananishow niaje kujichosha hivi mpaka lini..
Ananishow peleka toja mpaka ikanyage
ground..
Ananishow wewe ndo baba yao be proud..
Ananishow feel free this round..
Ananishow hizi vitu kwa dini is allowed..
Ananishow ukijifunika hijab utachekwa..
Ananishow mtaani nitasakwa..
Ananishow kama mwizi ntamulikwa..
Ananishow tupa jibambe mpaka
utakapozikwa..
Anakushow hii anakushow hiyo..
Huwa anakushow the opposite sindiyo..
Janjez janjaruka na utoke mbio..
Ama atakumessisha mbayest kama si
hivyo..
Wasee mnaelewa hii game?
Huyu ni devo ama shetani the same..
Anapoteza wathii in every name..
Ukimfuata waah utakuwa in shame..
Hataki kuenda hell alone..
Anataka kutudrag sisi along.
Hii ni vita fungua macho we are in wrong.
Tumrudie Allah where we belong....
WRITTEN BY ANONYMOUS
POSTED AS IS
POSTED AS IS
Comments
Post a Comment